Du'aa Za Nabiy Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam Zimekusanywa Na: Muislamublog.com 000-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Utangulizi 001-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Mema Ya Duniani Na Aakhirah Na Kinga Ya Adhabu Ya Moto 002-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kuthibitika Moyo Katika Dini 003-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kuomba Kuelekezwa Moyo Katika Utiifu 004-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Sayyid Al-Istighfaar: Du'aa Kubwa Kabisa Ya Kuomba Maghfirah Kuliko Zote 005-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Du’aa Makhsusi Ya Laylatul-Qadr- Kuomba Al-'Afw (Msamaha) 006-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kuomba Maghfirah Na Rahmah Kutokana Na Kujidhulumu Nafsi 007-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kuomba Maghfirah Na Tawbah 008-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kuomba Maghfirah Na Tawbah Du'aa Ina Jina Tukufu La Allaah Ambalo Likiombwa Huitikiwa 009-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kutakaswa Madhambi Kama Inavyotakaswa Nguo Nyeupe Kutokana Na Uchafu 010-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Maghfirah, Hidaayah, Rizki, Msamaha, Dhiki Ya Kisimamo Cha Aakhirah 011-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Maghfirah, Rahmah, Hidaaya, Kuungwa, Afya, Rizki, Kupandishwa Daraja 012-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Maghfirah, Kupanuliwa Neema Katika Nyumba, Kubarikiwa Katika Rizki 013-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kinga Ya Shari Ya Nafsi, Kuthibitika, Maghfirah Ya Dhambi Za Kila Aina 014-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kuhesabiwa Hesabu Nyepesi Siku Ya Qiyaamah 015-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kinga Ya Kumshirikisha Allaah Ukiwa Unajua Na Kuomba Maghfirah Kwa Usiyoyajua 016-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kuomba Jannah Na Kuepushwa Na Moto, Du'aa Yenye Jina Tukufu La Allaah 017-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kuomba Jannah Na Kuepushwa Na Moto Mara Tatu Asubuhi Na Jioni 018-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Adhabu Ya Moto Kaburi, Shari Za Utajiri Na Umasikini, Fitnah Za Masiyh Ad-Dajjaal 019-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kheri Alizoziomba Nabiy Na Shari Alizojikinga Nazo, Kuomba ... 020-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kuomba Hidaaya, Taqwa, Sitaha Na Kutosheka 021-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kuomba Hidaaya, Kunyooka Sawasawa Na Unyofu 022-Du'aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Iymaan Isiyobadilika, Neema Zisizoisha, Kukaribiana Na Nabiy Janna 023-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kusaidiwa Kumdhukuru Na Kumshukuru Allaah Na Kumwabudu Vizuri 024-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Khofu Inayotenganisha Baina Maasi Na Utiifu Utakaofikisha Jannah... 025-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Uhai Au Mauti Yakiwa Na Kheri, Kumkhofu Allaah Kisiri Na Dhahiri 026-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Kukithirishwa Mali Na Watoto Na Kubarikiwa 027-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Al-'Aafiyaah: Afya, Hifadhi, Amani, Usalama Duniani Na Aakhirah 028-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Mwisho Mwema, Kuokoka Na Hizaya Duniani Na Adhabu Za Aakhirah 029-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kusaidiwa, Kunusuriwa, Kupangiwa, Kumshukuru Na Kumdhukuru Allaah 030-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Azima Za Rahmah Za Allaah Na Maghfirah, Amani Na Kufuzu Jannah 031-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Ukunjufu Wa Rizki Katika Uzee Na Kukatika Umri 032-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kuomba Fadhila Na Rahmah Za Allaah 033-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kuunganishwa Nyoyo, Kusuluhishwa, Kuongozwa Njia Ya Amani, Kuokoka Kiza... 034-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Maombi Bora, Duaa, Kufuzu, Amali, Thawabu, Uhai Mauti, Kuthibitishwa... 035-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kukinaishwa Ulivyoruzukiwa, Kubarikiwa Na Kubadilishiwa Maovu Kwa Khayr 036-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Maisha Ya Taqwa, Mauti Ya Wastani, Marejeo Kwa Allaah Bila Hizaya 037-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kukunjuliwa Baraka, Rahmah, Fadhila, Rizki, Neema Ya Kudumu... 038-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kuzidishiwa Bila Kupunguziwa, Hadhi Bila Kudunishwa... 039-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Du'aa Ambayo Ni Hazina Kuliko Hazina Ya Dhahabu Na Fedha! 040-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kuomba Taqwa Ya Nafsi Na Kuitakasa 041-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kuomba Khulqa (Tabia) Njema 042-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Hikmah Kwani Atakayepewa Hikmah Amepewa Khayr Nyingi 043-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Ilhamu Ya Uongofu Na Kuomba Kinga Ya Shari Za Nafsi 044-Du'aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam): Kuomba Moyo Usionyenyekea, Du'aa Isiyosikizwa, Nafsi Isiyoshiba, Elimu... 045-Du'aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam): Kuomba Mema Kuacha Maovu Kuwapenda Maskini, Mapenzi Ya Allaah 046-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Mapenzi Ya Allaah Na Mapenzi Ya Watakaokunufaisha Kwa Allaah 047-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Hifadhi Katika Uislamu Katika Hali, Kinga Na Bezo La Adui Na Hasidi ... 048-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Kinga Ya Kila Shari, Kulipiwa Madeni Na Kinga Ya Ufakiri 049-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kujikinga Kushindwa Hila, Kutokuwa Na Uvivu, Uoga, Ubahili, Kutokudhoofika, Adhabu Za Kaburi Fitnah Za Uhai Na Mauti 050-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kinga Ya Kushindwa Hila, Kuomba Taqwa Ya Nafsi,Kinga Ya Elimu Isiyonufaisha, Moyo Usionyeyekea, Nafsi ... 051-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Kinga Ya Shari Ulizotenda Na Shari Usizotenda 052-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Kinga Ya Shari Ya Masikio, Macho, Ulimi, Moyo Na Manii 053-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Kinga Ya Tabia Ovu Za Kuchukiza Na Matendo Na Matamanio 054-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kinga Ya Tabia Ovu Na Matamanio, Matendo Na Maradhi 055-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Kinga Ya Njaa Na Khiyaana 056-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kinga Ya Uoga, Ubakhili, Kurudishwa Katika Umri Wa Udhalili, Fitna Za... 057-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kinga Ya Kudhoofika, Moyo Mgumu, Kughafilika, Kufedheheka, Kudhalilika Na... 058-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kinga Ya Kuangamia, Kuzama, Kuungua, Kughilibiwa Na Shaytwaan Wakati Wa ..... 059-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kinga Ya Ufakiri, Uchache, Udhalili, Kudhulumu Au Kudhulumiwa 060-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kinga Ya Uoga, Ubakhili, Uovu Wa Umri, Fitna Za Moyo, Adhabu Za Kaburi 061-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kinga Ya Balaa, Kukumbwa Na Uovu, Majaaliwa Mabaya, Bezo La Maadui 062-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Kinga Dhidi Ya Jirani Muovu 063-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Kinga Maovu Ya Mchana, Usiku, Saa, Rafiki Muovu, Jiirani Muovu 064-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Kinga Ya Kushindwa Kulipa Deni Na Adui Na Bezo La Maadui 065-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kutoshelezwa Vya Halaal Dhidi Ya Haraam, Kutajirishwa Kwa Fadhila Za Allaah 066-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kujisalimisha Kwa Allaah, Kumwamini, Kutawakali Kwake, Kutubia Kwake... 067-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kinga Ya Kuondokewa Neema Za Allaah, Kubadilika 'Aafiyah, Adhabu Ya Ghafla... 068-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Kunufaishwa Kwa Uliyojifunza, Elimu Ya Yatakayokufaa, Kuzidishiwa Elimu 069-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Elimu Yenye Manufaa, Kuomba Kinga Dhidi Ya Elimu Isiyonufaisha 070-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kunufaishwa Kwa Masikio, Macho, Kunusuriwa Na Anayekudhulum, Allaah Kukulipizia... 071-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Hasbuna Allaahu Wa Ni'mal-Wakiyl: Allaah Anatutosheleza Muzuri Alioje Mdhamini... 072-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Maghfirah Kwa Makosa Uliyoyakusudia Na Ya Mzaha, Kupinduka Mipaka... 073-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kutengenezewa Dini, Dunia Na Aakhirah, Kuzidishiwa Kheri Za Uhai, Kuepushwa... 074-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Qur-aan Kuwa Ni Uhuisho Wa Moyo Na Nuru, Kuondokewa Huzuni,Wahka 075-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kutaraji Rahmah Ya Allaah Kuomba Utengenezewe Mambo Yako Yote 076-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Rahmah Ya Allaah Itakayokutosheleza Usimtegemee Yeyote Ila Allaah 077-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Msamaha, Al-'Aafiyah Duniani Na Aakhirah Kuhifadhiwa Kila Pande 078-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Kinga Ya Jirani Na Mke Au Mume Muovu, Mwana Anayedhibiti, Rafiki Khaini
0 Comments