Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

Kuomba Ilhamu Ya Uongofu Na Kuomba Kinga Ya Shari Za Nafsi




 اللَّهُمَّ أَلْهِمْنِي رُشْدِي وَأَعِذْنِي مِنْ شَرِّ نَفْسِي

Allaahumma alhimniy rushdiy wa a’idhniy min sharri nafsiy

Ee Allaah, nitilie ilhamu uongofu wangu, na nikinge dhidi ya shari ya nafsi yangu

[At-Tirmidhiy, taz. Takhriyj Mishkaat Al-Miswbaah  Ibn Hajar Al-‘Asqalaani (3/24)]