Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

Kuomba Maghfirah, Rahmah, Hidaaya, Kuungwa,
Afya, Rizki, Kunyayuliwa Daraja



اللّهُـمَّ اغْفِـرْ لي، وَارْحَمْـني، وَاهْدِنـي، وَاجْبُرْنـي، وَعافِنـي وَارْزُقْنـي وَارْفَعْـني
Allaahummagh-fir-liy warhamniy, wahdiniy, wajburniy, wa ‘aafiniy, warzuqniy, warfa’-niy

Ee Allaah, nighufurie, na nirehemu, na nihidi na niunge kunitengenezea niliyoharamika nayo, na nipe afya, na niruzuku, na nipandishe [daraja].

[Aswhaabus-Sunan isipokuwa An-Nasaaiy. Nyiradi katika kikao baina ya Sajdah mbili]