Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Kuomba Kuelekezwa Moyo Katika Utiifu
Du’aa Alizokuwa Akiomba Sana Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
اللَّهُمَّ مُصَرِّفَ الْقُلُوبِ صَرِّفْ قُلُوبَنَا عَلَى طَاعَتِكَ
Allaahumma Muswarrifal quluwbi, swarrif quluwbanaa ‘alaa twaa’atika
Ee Allaah, Mwenye kuelekeza nyoyo, zielekeze nyoyo zetu katika utiifu Wako [Muslim]
0 Comments