Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Kuomba Kuzidishiwa Bila Kupunguziwa, Hadhi Bila Kudunishwa...
اللَّهُمَّ زِدْنَا وَلاَ تَنْقُصْنَا، وَأَكْرِمْنَا وَلاَ تُهِنَّا، وَأَعْطِنَا وَلاَ تَحْرِمْنَا، وَآثِرْنَا وَلاَ تُؤْثِرْ عَلَيْنَا، وَارْضِنَا وَارْضَ عَنَّا
Allaahumma zidnaa walaa tanquswnaa, wa akrimnaa walaa tuhinnaa, wa a’-twinaa walaa tahrimnaa, wa aathirnaa walaa tu-uthir ‘alaynaa, wardhwinaa wardhwa ‘annaa.
Ee Allaah Tuzidishie wala usitupunguze, na tajaalie wenye hadhi, usitudunishe, na tupe wala usitunyime, na tupendelee wala Usipendelee dhidi yetu, na Turidhishe, na Ridhike na sisi.
[At-Tirmidhiy, Ahmad Isnaad Swahiyh, Al-Haakim amepia daraja ya Swahiyh (2/98)]
0 Comments