Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

Kinga Ya Kumshirikisha Allaah Hali Ukijua Na Kuomba Maghfirah Kwa Usiyoyajua



اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ أَنْ أُشْرِكَ بِكَ وَأَنَا أَعْلَمُ، وَأَسْتَغْفِرُكَ لِمَا لاَ أَعْلَمُ
Allaahumma inniy a’uwdhu bika an-ushrika bika wa anaa a-’lamu, wa astaghfiruka limaa laa a’lamu

Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako kukushirikisha na hali najua, na nakuomba maghfirah kwa nisiyoyajua
[Ahmad - Swahiyh At-Targhiyb Wat-Tarhiyb (1/19)]