Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

Kuomba Hikmah Kwani Atakayepewa Hikmah Amepewa Khayr Nyingi



اللَّهُمَّ آتِنِي الْحِكْمَةَ الَّتِي مَنْ أُوتِيَهَا فَقَدْ أُوتِيَ خَيْرًا كَثِيرًا

Allaahumma aatinil-hikmatallaty man uwtiyahaa faqad uwtiya khayran kathiyraa

Ee Allaah, Nipe Hikmah ambayo atakayepewa basi kwa yakini amepewa khayr nyingi.

Tanbihi:  Hii ni du’aa ambayo imenukuliwa kutokana na kauli ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) katika Suwratul-Baqarah 2: 269.