Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

Kuomba Kinga Dhidi Ya Jirani Muovu


  
063- Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako jirani muovu katika…


اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ جَارِ السَّوْءِ فِي دَارِ الْمُقَامِ فَإِنَّ جَارَ الْبَادِيَةِ يَتَحَوَّلُ

Allaahumma inniy a’uwdhu bika min jaaris-saw-i fiy daaril-muqaami fainna jaaral-baadiyati yatahawwalu.

Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako na jirani muovu katika makazi ya kudumu kwanjirani wa jangwani hubadilika badilika kuhama.

[An-Nasaaiy kwa usimulizi ((Jikingeni na jirani muovu…)), As-Silsilatusw-Swahiyhah (3943), Swahiyh Al-Jaami’ (2967)]

Ufafanuzi: Makazi ya kudumu: Makazi ya kuthibitika hayabadiliki; watu hubakia hawaondoki kuhama kuhama.