Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

Kusaidiwa Kumdhukuru Na Kumshukuru Allaah Na Kumuabudu Vizuri



 Ø§Ù„Ù„َّÙ‡ُÙ…َّ Ø£َعِÙ†ِّÙŠ عَÙ„َÙ‰ Ø°ِÙƒْرِÙƒَ ÙˆَØ´ُÙƒْرِÙƒَ ÙˆَØ­ُسْÙ†ِ عِبَادَتِÙƒَ
  
Allaahumma a’inniy ‘alaa dhikrika,  wa shukrika wa husni ‘ibaadatika

Ee Allaah nisaidie kuweza kukudhukuru, na kukushukuru na uzuri wa kukuabudu
[Abuu Daawuwd, Ahmad na kwa usimilizi tofauti kidogo kutoka kwa An-Nasaaiy. Wasia wa Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) aliompa ‘Mu’aadh bin Jabal (رضي الله عنه)  aombe du’aa hii kila baada ya Swalaah].