Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Kuomba Kinga Kutokana Na Shari Ulizotenda Na Shari Usizotenda
اللَّÙ‡ُÙ…َّ Ø¥ِÙ†ِّÙŠ Ø£َعُوذُ بِÙƒَ Ù…ِÙ†ْ Ø´َرِّ Ù…َا عَÙ…ِÙ„ْتُ ÙˆَÙ…ِÙ†ْ Ø´َرِّ Ù…َا Ù„َÙ…ْ Ø£َعْÙ…َÙ„ْ
Allaahumma inniy a’uwdhu bika min sharri maa ‘amiltu wamin sharri maa lam a’-amal
Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako kutokana na shari nilizotenda na shari nisizotenda.
[Muslim, Abuu Daawuwd, An-Nasaaiy, Ibn Maajah, Ahmad]
0 Comments