Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Kuomba Kinga Ya Tabia Ovu Za Kuchukiza Na Matamanio,
Matendo Na Maradhi
اللَّÙ‡ُÙ…َّ جَÙ†ِّبْÙ†ِÙŠ Ù…ُÙ†ْÙƒَرَاتِ الاَØ®ْلاَÙ‚ِ ÙˆَالاَÙ‡ْÙˆَاءِ ÙˆَالاَعْÙ…َالِ والأدْÙˆَاءِ
Allaahumma jannibniy munkaraatil-akhlaaqi, wal ahwaahi, wal-a’maali, wal adwaai
Ee Allaah niepushe tabia ovu za kuchukiza na matamanio na na matendo, na maradhi
[Al-Haakim na kasema Swahiyh kwa sharti ya Muslim na ameikubali Adh-Dhahabiy. Kitabus-Sunnah (13) na ameipa daraja ya Swahiyh Al-Albaaniy]
0 Comments