Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Kuomba Maghfirah, Kupanuliwa Neema Katika Nyumba,
Kubarikiwa Katika Rizki
اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِي ذَنْبِي، وَوَسِّعْ لِي فِي دَارِي، وَبَارِكْ لِي فِيمَا رَزَقْتَنِي
Allaahummagh-fir-liy dhambiy, wa wass’i fiy daariy, wa Baarik liy fiymaa razaqtaniy
Ee Allaah nighufurie dhambi zangu, na nipanulie katika nyumba yangu, na nibarikie katika Uliyoniruzuku. [At-Tirmidhiy, Ahmad - Swahiyh Al-Jaami’ (1265) - Zaad-al-Ma’aad (2/354)]
0 Comments