Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Kuomba Hidaaya, Taqwa, Sitaha Na Kutosheka
اللَّهُمَّ إِنِّي أسْألُكَ الْهُدَى وَالتُّقَى وَالْعَفَافَ وَالْغِنَى
Allaahumma inniy as-alukal-hudaa wat -ttuqaa wal ‘afaafa wal ghinaa
Ee Allaah hakika mimi nakuomba hidaaya na taqwa na sitaha (kujichunga) na kutosheka
[Muslim]
0 Comments