Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

Kuomba Hifadhi Katika Uislamu Katika Hali; Kusimama, Kukakaa, Kulala
Kinga Na Bezo La Adui Na Hasidi Na Kheri Zote




 اَللَّهُمَّ احْفَظْنِي بِالإِسْلاَمِ قَائِمًا  وَاحْفَظْنِي بِالإِسْلاَمِ قَاعِداً  وَاحْفَظْنِي بِالإِسْلاَمِ رَاقِداً  وَلاَ تُشْمِتْ بِي عَدُوًا وَلاَ حَاسِداً. اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ مِنْ كُلِّ خَيْرٍ خَزَائِنُهُ بِيَدِكَ  وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ كُلِّ شَرٍّ خَزَائِنُهُ بِيَدِك   

Allaahummah-fadhwniy bil Islaami qaaimaa, wahfadhwniy bil Islaami qaaidaa, wahfadhwniy bil Islaami raaqidaa, walaa tushmit biy ‘aduwwan walaa haasidaa. Allaahumma inniy as-aluka min kulli khayrin khazaainuhu Biyadika, wa a’uwdhu Bika min kulli sharrin khazaainuhu Biyadika

Ee Allaah, nihifadhi katika Uislamu nikiwa nimesimama, na nihifadhi katika Usilamu nikiwa nimekaa, na nihifadhi katika Uislamu nikiwa nimelala, wala Usinijaalie kuwa bezo la adui wala hasidi. Ee Allaah, hakika mimi nakuomba kila kheri ambazo hazina zake zimo Mikononi Mwako, na najikinga Kwako shari zote ambazo hazina zake zimo Mikononi Mwako

[Al-Haakim, Taz., Swahiyh Al-Jaami’ (2/398) na Ahaadiyth Asw-Swahiyhah (4/54 – 1540)]