Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

Kuomba Kuthibitika Moyo Katika Dini


Du’aa Alizokuwa Akiomba Sana Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)



يَا مُقَلِّبَ الْقُلُوبِ ثَبِّتْ قَلْبِي عَلَى دِينِك
Yaa muqallibal quluwbi, thabbit qalbiy ‘alaa Diynika
Ee Mwenye kupindua nyoyo, Thibitisha moyo wangu katika Dini Yako [At-Tirmidhiy, Ibn Maajah, Ahmad, Al-Haakim  na Taz Swahiyh Al-Jaami’ 7987]