Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Kuomba Kutoshelezwa Kwa Vya Halaal Dhidi Ya Haraam
Na Kutajirishwa Kwa Fadhila Za Allaah
066- Ee Allaah nitosheleze vya halali Yako dhidi ya ya ambavyo ni haramu
اللَّهُمَّ اكْفِنِي بِحَلالِكَ عن حَرَامِكَ وَأغْنِنِي بِفَضْلِكَ عَمَّنْ سِوَاكَ
Allaahumma akfiniy bi-halaalika ‘an-haraamika waghniniy bi-fadhwlika ‘an man siwaak
Ee Allaah nitosheleze vya halali Yako dhidi ya ambavyo ni haramu Kwako, na nitajirishe kwa fadhila Zako kutokana na asiyekuwa Wewe
[At-Tirmidhiy Taz Swahiyh Sunan At-Tirmidhy (2822)]
0 Comments