Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Kuomba Kinga Ya Uoga, Ubakhili, Kurudishwa Katika Umri Wa Udhalili,
Fitna Za Dunia Na Adhabu Za Kaburi
اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْجُبْنِ وَأَعُوذُ بِكَ مِنَ الْبُخْلِ وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ أَنْ أُرَدَّ إِلَى أَرْذَلِ الْعُمُرِ وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ فِتْنَةِ الدُّنْيَا وَعَذَابِ الْقَبْرِ
Allaahumma inniy a’uwdhu bika minal-jubni, wa a’uwdhu bika minal-bukhli, wa a’uwdhu bika min an uradda ilaa ardhalil ‘umuri, wa a’uwdhu bika min fitnatid-dunyaa wa adhaabil-qabri
Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako uoga, na najikinga Kwako ubakhili, na najikinga Kwako kurudishwa katika umri wa kudhalilika [uzee], na najikinga Kwako fitnah za dunia na adhabu za kaburi
[Al-Bukhaariy]
0 Comments