Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Kuomba Elimu Yenye Manufaa
Na Kuomba Kinga Dhidi Ya Elimu Isiyonufaisha
اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ عِلْماً نَافِعًا وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ عِلْمٍ لاَ يَنْفَعُ
Allaahumma inniy as-aluka ‘ilman naafi’aa wa a’uwdhu bika min ‘ilmin-laa yanfa’u
Ee Allaah, hakika mimi nakuomba elimu yenye manufaa, na najikinga Kwako elimu isiyonufaisha
[Swahiyh Ibn Maajah na Taz Majma’ Az-Zawaaid (10/185)]
0 Comments