Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Hasbuna Allaah Wa Ni'mal-Wakiyl
Allaah Anatutosheleza Mzuri Aioje Mdhamini Anayetegemmewa Kwa Yote
ØَسْبُÙ†َا اللَّÙ‡ُ ÙˆَÙ†ِعْÙ…َ الْÙˆَÙƒِيلُ
Hasbuna-Allaahu wa Ni’-mal-Wakiyl
Allaah Anatutosheleza, Mzuri Alioje Mdhamini Anayetegemewa kwa yote
[Al-Bukhaariy kutoka kwa Ibn ‘Abaas: “Ameisema Ibraahiym ('Alayhis-Salaam) alipotupwa Motoni na ameisema Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) waliposema (Suwrat A’Imraan 3: 173) ((“Hasbuna-Allaah! Allaah Anatutosheleza, Mzuri Alioje Mdhamini Anayetegemewa kwa yote.”))
0 Comments