Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Kuomba Maisha Ya Taqwa, Mauti Ya Wastani, Marejeo Kwa Allaah Bila Hizaya
اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ عِيشَةً تَقِيَّةً وَمِيتَةً سَوِيَّةً وَمَرَدًّا غَيْرَ مُخْزٍ
Allaahumma inni as-aluka ‘iyshatan taqiyyatan wa miytatan sawiyyatan wa maraddan ghayra mukhzin
Ee Allaah hakika mimi nakuomba maisha ya taqwa na mauti ya wastani (yasiyo na madhara) na marejeo [Kwako] bila ya hizaya.
[Musnad Ahmad, Al-Haakim (1/541), Atw-Twabaraaniy katika Al-Mu’jam Al-Awsatw (7/306), kwa isnaad nzuri, na Taz. Majma’u Az-Zawaaid (10/179)].
0 Comments