Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Kuomba Kukinaishwa Ulivyoruzukiwa, Kubarikiwa
Na Kubadilishiwa Maovu Kwa Ya Khayr
اللَّهُمَّ قَنِّعْنَي بِمَا رَزَقْتَنَي وَبَارِكْ لِي فِيهِ وَاخْلُفْ عَلَيَّ كُلَّ غَائِبَةٍ لِي بِخَيرٍ
Allaahumma qanni-’niy bimaa razaqtaniy, wa Baarikliy fiyhi, wakhluf ‘alayya kulla ghaaibatin-liy bikhayr
Ee Allaah, nikinaishe kwa Ulivyoniruzuku, na nibarikie ndani yake, na nibadilishie kila kilichofichika (kiovu) kwa khayr
[Al-Haakim na ameipa daraja ya Swahiyh na ameikubali Adh-Dhahabiy (1/510). Ibn Hajar Al-‘Asqalaaniy ameipa daraja ya Hasan katika Al-Futuhaat Ar-Rabbaaniyah (4/384)]
0 Comments