Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Kuomba Azima Za Rahmah Za Allaah Na Maghfirah, Amani Katika Kila Dhambi Na Kufuzu Jannah
اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ مُوجِبَاتِ رَحْمَتِكَ، وَعَزَائِمَ مَغْفِرَتِكَ، وَالسَّلامَةَ مِنْ كُلِّ إِثْمٍ، وَالْغَنِيمَةَ مِنْ كُلِّ بِرّ، وَالْفَوْزَ بِالْجَنَّةِ، وَالنَّجَاةَ مِنَ النَّاَرِ
Allaahumma inniy as-aluka muwjibaati Rahmatik wa 'azaaima maghfiratik was salaamata min kulli ithm, wal ghaniymata minkulli birr, wal fawza bil Jannati, wan najaata minan-naari
Ee Allaah hakika mimi nakuomba azima za Rahmah Yako, na azimio la maghfirah Yako, na amani katika kila dhambi, na ghanima katika kila jema, na kufuzu Jannah na kuokoka na Moto.
[Al-Haakim (1/525) na ameipa daraja ya Swahiyh na ameiwafiki Adh-Dhahabiy]
0 Comments