Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Kuomba Kunufaishwa Kwa Uliyojifunza
Na Yanayokufaa Na Kuzidishiwa Elimu
069-Ee Allaah, ninufaishe kwa Uliyonifundisha, na nifundishe
اللَّهُمَّ انْفَعْنِي بِمَا عَلَّمْتَنِي وَعَلِّمْنِي مَا يَنْفَعُنِي وَزِدْنِي عِلْمًا
Allaahuuma anfa’-niy bimaa ‘allamtaniy wa-‘allimniy maa yanfa’uniy wazidniy ‘ilmaa
Ee Allaah, ninufaishe kwa Uliyonifundisha, na nifundishe yanayoyonifaa na Nizidishe elimu
[Ibn Maajah 1/92 , Swahiyh Ibn Maajah 3091]
0 Comments