[184]
أَفْطَـرَ عِنْدَكُم الصّـائِمونَ وَأَكَلَ طَعامَـكُمُ الأبْـرار، وَصَلَّـتْ عَلَـيْكُمُ الملائِكَـة
Aftwara ‘indakumu asw-swaaimuwna wa akala twa’aamakum al-abraar, wa Swallat ‘alaykumul Malaaikah
Wafuturu kwenu waliofunga (Swawm) na wale chakula chenu watu wema, na wawaombee Rehma Malaika[1]
[1]Hadiyth ya Anas bin Maalik (رضي الله عنه) - Sunan Abi Daawuwd (3/367) [3854], Ibn Maajah (1/556) [1747], An-Nasaaiy katika kitabu chake; ‘Amal Al-Yawm wal-Laylah (296-298), na ameisahihisha Al-Albaaniy (رحمه الله) katika Swahiyh Abi Daawuwd (2/730). Imetaja katika riwaayah: “Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وسلم) alikuwa akisema hivyo anapofuturu kwa watu wa nyumbani kwake”.
0 Comments