Sherhe ya hadith : atakaesema LAA ILAAHA ILLALLAH ataingia peponi.

 ⬅️ شرح حديث: {من قال لا إله إلا الله دخل الجنة}


Sherhe ya hadith : atakaesema LAA ILAAHA ILLALLAH ataingia peponi. 


١ • سئل الحافظ #عبد_الغني_المقدسي (ت ٦٠٠) رحمه الله عن حديث: 


Aliulizwa al haafidh Abdul ghaniy Al maqdisiy alifariki mwaka 600H Rahimahullah kutokana na hadith :


من قال لا إله إلا الله دخل الجنة، هل هو منسوخ؟


Atakaesema LAA ILAAHA ILLALLAH ataingia peponi je ilifutwa ? 


فأجاب: {بل هو محكم ثابت؛ لكن زيد فيه، وضم إليه شروط أخر، وفرائض فرضها على عباده}


Akajibu : bali hiyo ni inahukumu na Imethibiti, lakini ziada kwayo, na imekusanya kwake masharti mengine,na faradhi zilizofaradhishwa juu ya waja wake


📗 [ذيل الطبقات الحنابلة (٥٠/٣)]


٢ • قال #الزهري  رحمه الله:


Amesema zuhriy Rahimahullah 


{قال هشام بن عبد الملك: أبلغك أن رسول الله صلى الله عليه وسلم أمر مناديا ينادي: 


Amesema hisham ibn Abdul malik : imekufikia yakua Rasulullah swallallahu alayhi wasalama aliamrisha mwenye kunadi  anadi :


من قال لا إله إلا الله فله الجنة؟


Atakaesema LAA ILAAHA ILLALLAH basi pepo ni ya kwake ? 


 قال: قلت: نعم، وذاك قبل أن تنزل الفرائض، ثم نزلت الفرائض، فينبغي على الناس أن يعملوا بما افترض الله عز وجل عليهم.}


Akasema : umesema : Naam , na hilo lilikua kabla ya kushuka mafaradhi , kisha zilishuka faradhi , basi inawapasa Watu kufanyia kazi yale yaliofaradhishwa na allah mtukufu juu yao 


📗 [#الإيمان للإمام أحمد (٧٥)]


• قال أبو الحارث: سألت أبا عبد الله #أحمد_بن_حنبل  قلت:


Amesema Abul haarith : nilimuuliza Abaa Abdillahi  Ahmad ibn hambal Nikasema :


 إذا قال الرجل: لا إله إلا الله فهو مؤمن؟ قال:


Atakaposema  mtu LAA ILAAHA ILLALLAH basi yeye ni mu'umin ?  Akasema :


{كذا كان بدء #الإيمان ، ثم نزلت الفرائض: الصلاة، والزكاة، وصوم رمضان، وحج البيت.}


Hilo lilikua mwanzo wa imani, kisha zikashuka faradhi : Salah ,zaka, funga ya Ramadhan, na hijjah. 


📗 [#السنة_للخلال (٩٣٩)


0 Comments