Maneno ya sheikh Muqbil kipindi cha uhai wake kuhusiana na Saudi Arabia

Utawala wa Suudia umefungua mlango wa sharri.


قال رحمة الله عليه مبينا بعد دولة آل سعود عن منهج الإمام محمد بن عبد الوهاب: 


Amesema (rahimahuAllah) katika kubainisha umbali uliopo kati ya dola ya suudia kutokana na manhaj ya Imam Muhammad Ibn Abdil wahaab.


"فالذى نعتقده، وندين الله به؛ أن السعودية الآن ليست تابعة لما جاء به محمد بن عبدالوهاب؛ فقد فتحت الباب للشر على مصراعيه، ولولا أنه يوجد في نجد والحجاز رجال صالحون أخيار؛ لسبقت غيرها من الدول في الشر، ولكنها تراعى خواطرهم؛ نسأل الله أن يولي المسلمين خيارهم .. هل علمتم أن السعودية طردت كثيراً من أهل العلم من بلدها، وحرمتهم من سكنى الحرمين؟ هل بلغكم أنها زجت بكثير من الشباب في السجون؛ هل تعتقدون أنها حريصة على نشر السنن؟ فأين سلوكنا، وأين سلوك السعودية؟ نحن في واد، وهي في واد"اهـ 


Katika yale tunayoitakidi na kuyafanya kuwa ni dini, kwamba suudia y zama hizi haifuati yale aliyokuja nayo Muhammad Ibn Abdil wahaab, kwani tayari wamefungua mlango wa sharri kwa upanga (kumwaga damu) na law wasingepatikana watu wema huko Najdi na Hijaaz, basi ingezitangulia nchi zingine katika sharr, lakini wanazuia khatari zao Allah awape waislam utawala ulio was khayr juu yao, hivi mnajua kuwa suudia imewafukuza maduuati wengi sana katika nchi yao? Na wakawazuia wasiishi katika haram mbili ? Hivi mnajua kuwa suudia imewafunga vijana wengi sana katika magereza zao? Hivi mnaitakidi kuwa wanafanya juhudi katika kuieneza sunnah? Tunaenda wapi wapi, na suudia inaenda wapi? Sisi tuko kwenye bonde, na wao wako kwenye bonde.


(المخرج من الفتنة ص 152) .


0 Comments