ni muda gani mja atapata raha ?

 📌‏متى الراحة ؟


RAHA LINI ?

جاء رجل من أهل خراسان إلى الإمام أحمد بن حنبل،

Alikuja mtu kutokea katika watu wa khurasan kwa Imam Ahmad ibn hambal ,

 فقال: يا أبا عبدالله، قصدتك من خراسان أسألك عن مسألة، فقال له الإمام أحمد: سل، فقال الرجل: متى يجد العبد طعم الراحة؟

Akasema : Ewe Abaa Abdillah , nimekusudia kutoka khurasan nikuulize kutokana swala moja, akamwambia Imam Ahmad ibn hambal uliza , basi yule mtu akasema : ni mda gani mja atapata raha ?

 فقال الإمام أحمد: "عند أول قدم يضعها في الجنة".

Akasema Imam Ahmad ibn hambal : pindi atakapoweka Mguu wa kwanza peponi.

📚طبقات الحنابلة لابن أبي يعلى

0 Comments