> ملة إبراهيم الكتاب 📘 والسنة 📚:
الحــكـم بالقوانين الوضعيــة والتحاكــم إليهــا
Hukmu ya kanuni za kupangwa na kuhukumiana juu yake.
الشيخ سليمان بن عبد الله:
Amesema Sheykh Suleymaan Ibn Abdillah.
__
من دعا إلى تحكيم غير الله ورسوله فقد دعا إلى تحكيم الطاغوت ثم قال وقوله تعالى: (وقد أمروا أن يكفروا به) هو دليل على أن التحاكم إلى الطاغوت مناف للإيمان ومضاد له، فلا يصح إيمان إلا بالكفر به، وترك التحاكم إليه، فمن لم يكفر بالطاغوت لم يؤمن بالله)
Anaelingania juu ya kwenda kuhukumiana kwa sheria zisizokuwa za Allah na mtumr wake, hakika huyo atakua amelingania juu ya kwenda kuhukumiana kwa twaaghut, kisha akasema, na kauli yake Allah mtukufu (na ilhali mumeamrishwa kumkufurisha) nayo ni dalili ya kwamba kuhukumiana kwa twaaghut ni katika kukosa imaan na ni kinyume chake, bali haiswihi imani ispokuwa kwa kumkufurisha huyo, na kuacha kuhukumiana juu yake, na ambae hamkufurishi twaaghut basi huyo hajamuamini Allah).
وقال رحمه الله ،
Na akasema Allah amrehem
"وقد انعقد إجماع أهل السّنةّ والجماعة على خلافهم(اي الخوارج في قولهم كلّ من أذنب فقد حكم بغير ما أنزل الله فوجب أن يكون كافراً.) . ونحن لم نُكفّر إلاّ من لم يحكم بما أنزل الله من التوحيد بل حكم بضدّه وفعل الشّرك ووالى أهله وظاهرهم على الموحّدين ) .
(na imenukuliwa ijmaa ya Ahlul Ilmu juu ya kilaaf (yaani kuwakhaalif makhawaarij katika kauli yao kuwa kila anaefanya dhambi huyo amehukumiwa kinyume na yale aliyoyateremsha Allah basi inamuwajibikia yeye kuwa ni kafiri). Na sisi hatuwakufurishi ispokuwa wanaohukumu kinyume na yale aliyoyateremsha Allah katika tawheed, bali kuhukumiana kwayo, kitendo hiki ni shirki, na kuwapenda watu wake na kudhihirisha hayo dhidi ya muwahidiin).
وقال : ( سبب النزول وإن كان خاصّاً فعموم اللفظ - إذا لم يكن منسوخاً - معتبر، ولأنّ قوله - تعالى - : " ومن لم يحكم بما أنزل الله " كلام داخل فيه كلم" من " في معرض الشرط فتكون للعموم ) .
Na akasema: (Sababu ya kuteremshwa, ijapokuwa ni makhsusi, basi huzingatiwa ujumla wa neno - ikiwa haliabadilishwa, inazingatiwa na kwa sababu kauli Yake - Aliyetukuka -: "Na asiyehukumu kwa Yale aliyoyateremsha Allah, maneno haya yameingizwa katika neno, min, kwa mazingatio ya sharti basi linakuwa ni kwa ujumla.
العلامة عبد الرحمن بن حسن
Al alaamat Abdurahmaan Ibn Hasan.
: قال: (فمن خالف ما أمر الله به رسوله صلى الله عليه وسلم بأن حكم بين الناس بغير ما أنزل الله أو طلب ذلك إتباعا لما يهواه ويريده، فقد خلع ربقة الإسلام والإيمان من عنقه، وإن زعم أنه مؤمن). ...).
Amesema (basi atakaekhaalif yale aliyoyaamrisha Allah kwa mtume wake (swala Allahu alayhi wasalama) juu ya kwamba anahukumu baina ya watu kinyume na yale aliyoyateremsha Allah, au akawa anafuata kutokana na matamanio yake na matakwa yake, basi atakuwa ameivua kamba ya uislam na imaan katika shingo yake, na hata kama atajidai kuwa yeye ni muumin....
فتح المجيد.
الشيخ حمد بن عتيق النجدي:
Na amesema Sheykh Hamid Ibn Atiyq An Najdiy.
1- قال: (الأمر الرابع عشر - من نواقض الإسلام - :
1- Amesema. (Jambo la kumi na nne katika vitenguzi vya uislam.
التحاكم إلى غير كتاب الله وسنة رسوله صلى الله عليه وسلم ، - وذكر الشيخ حَمَد فتوى ابن كثير في تفسيره لقوله تعالى: (أفحكم الجاهلية يبغون) - ، ثم قال: ومثل هؤلاء ما وقع فيه عامة البوادي ومن شابههم من تحكيم عادات آبائهم وما وضعه أوائلهم من الموضوعات الملعونة التي يُسَمُّونها شرع الرِّفاقة، يقدمونها على كتاب الله وسنة رسوله، ومن فعل ذلك فإنه كافر يجب قتاله حتى يرجع إلى حكم الله ورسوله) . والقوانين أولى بذلك.
Kuhukumiana kwa kisichokuwa kitabu cha Allah na Sunnah ya Mtume (swala Allahu alayji wasalama) na akataja Sheykh Hamid Fatawa ya Ibn Kathiyr katika tafsiri yake juu ya kuitafsiri kauli yake Allah mtukufu (hivi hukmu za kijaahili ndo mnazitaka)
Kisha akasema: Na mfano was wale walioangukia katika yale ambayo umma wa Al-Bawadi na walio mfano wao waliangukia katika kuhukumiana kwa mila za baba zao na yale waliyoyaweka baba zao katika mambo yaliyolaaniwa ambayo wao wanayaita sheria ya urafiki, kukitanguliza juu ya Kitabu cha Allah na Sunnah za Mtume wake, na mwenye kufanya hivyo ni kafiri ambaye lazima apigwe vita mpaka arejee kwenye hukumu ya Allah na Mtume wake). Sheria zinatanguliza kuliko hilo.
> ملة إبراهيم الكتاب 📘 والسنة 📚:
2-وقال في رسالة له إلى أحد إخوانه عن أهل بلدة انتشرت فيها الكفريات:
(.ووضعوا قوانين ينفذونها في الرعية، مخالفة لكتاب الله وسنة نبيه صلى الله عليه وسلم ، وقد علمت أن هذه كافية وحدها، في إخراج من أتى بها من الإسلام).
2- Na alisema katika barua kwa mmoja wa ndugu zake juu ya watu wa mji ambao wameenea makafiri.
(.Na wanaweka sheria wanazozitekeleza kwa watu ambazo ni kinyume na Kitabu cha Allah na Sunna za Mtume wake, swala na salamu zimshukie, na ilhali wanajua kuwa hili moja tu linamfanya mtu kutoka katika uislam.
العلامة عبد اللطيف بن عبد الرحمن بن حسن بن محمد بن عبد الوهاب - رحمهم الله -:
Al Alaamat Abdilatwiyf Ibn Abdurahmaan Ibn Hasan Ibn Muhammad Ibn Abdil wahaab (rahimahumu Allah).
حيث سئل عما يحكم به أهل السوالف من البوادي وغيرهم من عادات الآباء والأجداد، هل يُطلق عليهم بذلك الكفر بعد التعريف...الخ؟
Alipoulizwa kuhusiana na watu was majangawani huko Bawadiy na kwengineko ambao wanalinganiana juu ya yale waliyokuwa nayo baba zao na babu zao, je wataitwa makafiri baada ya kuwa wameshafahamishwa...... Mpaka mwisho?
فأجاب: (من تحاكم إلى غير كتاب الله، وسنة رسوله صلى الله عليه وسلم بعد التعريف فهو كافر، قال تعالى: (ومن لم يحكم بما أنزل الله فأولئك هم الكافرون)، وقال تعالى: (أفغير دين الله يبغون) الآية، وقال تعالى: (ألم تر إلى الذين يزعمون أنهم آمنوا بما أنزل إليك وما أنزل من قبلك يريدون أن يتحاكموا إلى الطاغوت، وقد أِمروا أن يكفروا به) الآية، وقال تعالى: (ولقد بعثنا في كل أمة رسولاً أن اعبدوا الله واجتنبوا الطاغوت) الآية، والآيات في هذا المعنى كثيرة).
Akajibu. (Anaehukumiana kwa kisichokuwa kitabu cha Allah na Sunnah ya Rasulullah (swala Allahu alayhi wasalama) baada ya kujua hao ni makafiri, amesema Allah mtukufu (na ambae hahukumu kwa yale aliyoyateremsha Allah hakika huyo ni kafiri), na akasema Allah mtukufu (isiyokuwa dini ya Allah ndo mnaitaka) aya, na akasema Allah mtukufu (hivi huwaoni wale wanaodai kuwa wameamini yale uliyoteremshiwa na yale yaliyoteremshwa kabla yako wanataka wakahukumiane kwa twaaghut na ilhali wameamrishwa wamkufurishe) aya, na akasema Allah mtukufu (hakika tulimtuma mtume kwa kila ummah kwamba wamuabudu Allah na wamkufuriahe twaaghut) aya, na aya ziko nyingi sana kuhusiana na maana hii.
كما أفتي رحمه الله بكفر الدّولة التّركية أي العثمانية لانها حكمت بالقوانين الوضعية قائلا : ( فكيف وقد بلغ شركهم إلى تعطيل الرّبوبيّة ، والصّفات العليّة ،وإخلاص العبادات للمعبودات الوثنيّة ومعارضة الشريعة المحمديّة، بأحكام الطواغيت ، والقوانين الإفرنجيّة )
Na hii ni kama alivyotoa fatwah ya kuikufurisha dola ya uturuki, yaani Al Uthmaaniyah kwa sababu walikuwa wanahukumiana kwa kanuni walizozipanga (na vipi ilhali imewafikia kuwa ni ushirikina juu ya kubadilisha urububiya, na swifa za uluwa, na kutakasa ibada zote kwa muabudiwa ambae ni masanam na wakaiacha sheria ya Muahmmadiyah, juu ya kuhukumiana kwa twaagjut, na sheria za ifranjiyah).
[ عيون الرسائل 1/338 ]
و قال : ( وأمّا إجازتك الاستنصار بهم ، فالنّزاع في غير هذه المسألة ، بل في توليتهم وجلبهم ، وتمكينهم من دار إسلاميّة ، هدموا بها شعار الإسلام وقواعد الملة، وأصول الدّين وفروعه ، وعند رؤسائهم قانون وطاغوت ، وضعوه للحكم بين الناس، في الدّماء والأموال ، وغيرها، مضادّ ومخالف للنصوص ، إذا وردت قضيّة نظروا فيه وحكموا به ، ونبذوا كتاب الله وراء ظهورهم.)
Na akasema: ((Ama ruhusa yako ya kutaka msaada kwao, mzozo hauko katika suala hili, bali ni katika kuwatawalisha na , kuwaingiza na kuwapa uwezo juu ya waislam katika dola ya Kiislamu, ambayo kwayo waliiharibu na kauli mbiu yao ni kuuharibu Uislamu na misingi ya dini, na chimbuko na matawi ya dini, na pamoja na viongozi wao kuna sheria na twaaghut, anayeiweka kutawala baina ya watu, kwa kumwaga damu na kutoa mali, na nyinginezo zenye kupingana na nusuws, ikiwa watakuta kadhia kama hii wanaangalia kisha wanahukumiana kwayo, na wanakipuuza kitabu cha Allah ya yale yaliyowadhihirikia.
.[ الدرر السنية 8/366 ] .
تمعّن في قوله "فكيف وقد بلغ شركهم....ومعارضة الشريعة المحمديّة، بأحكام الطواغيت ، والقوانين الإفرنجيّة "
Chunguza usemi wake, "Itakuwaje basi ushirikina wao umefika...na upinzani wa Sharia ya Muhammad, na hukumu za matwaaghut, na sheria za Kifaraki?"
> ملة إبراهيم الكتاب 📘 والسنة 📚:
وسئل الشيخ عبد الله بن عبد اللطيف ، عمّن لم يكفر الدولة " التركية العثمانية " ومن جرّهم على المسلمين ، واختار ولايتهم وأنّه يلزمهم الجهاد معه ، والآخر لا يرى ذلك كلّه ، بل الدّولة ومن جرّهم بُغاة ، ولا يحلّ منهم إلاّ ما يحلّ من البغاة ،وأنّ ما يغنم من الأعراب حرام ؟
Na aliulizwa Sheykh Abdillah Ibn Abdi latwiyf kuhusiana na kuikufurisha dola ya uturuki yaani dola ya Othmaniyah, na yale yaliyokuwa yanafanyika juu ya waislam na akapendekeza kuwatawalisha na kuwalazimisha kupigana jihadi pamoja nao, na mwishoe wala hakuona hayo yote, bali bali dola yote na wanaoendana nayo wote ni mabughaat, na wala haiwi halali kwao hao ispikuwa yanayokuwa halali kwa mabughaat (makhawaarij) na kwamba wanayoyakusanya katika ghanima kwa waarabu ni haramu?.
فأجاب ( من لم يعرف كفر الدّولة ، ولم يفرّق بينهم وبين البغاة من المسلمين ، لم يعرف معنى لا إله إلا الله ، فإن اعتقد مع ذلك: أنّ الدّولة مسلمون ، فهو أشدّ وأعظم ، وهذا هو الشّكّ في كفر من كفر بالله ، وأشرك به ، ومن جرّهم وأعانهم على المسلمين ، بأيّ إعانة ، فهي ردّة صريحة )
Akajibu, (ambae hajui ukafiri wa dola na akashindwa kutofautisha kati yao na mabughaat miongoni mwa waislam, huyo hajui mana ya LAA ILAH ILAA ALLAH, hata kama anaitakidi hivyo, kuwa dola ni waislam, basi hilo ni kubwa na baya zaidi, na hii ni kuwa na shaka juu ya kumkufurisha anaemkufuru Allah, na akamshirikisha, atakaefuata njia hiyo na akawa dhidi ya waislam kwa aina yoyote, hakika huyo amerittad kwa wazi kabisa.).
[ الدرر السنية في الأجوبة النّجديّة 10/429 ] .
تمعّن في قوله : " من لم يعرف كفر الدّولة " أي : كفر الدّولة العثمانية ، فهذا القول فيه تعيين للدّولة و تكفيرها . كما أفتى بكفر من شكّ في كفرها .
Chunguza katika usemi wake kuwa (ambae hajui ukafiri wa dola, yaani ukafiri wa dola ya Othmaaniya, na kauli hii inaainisha ukafiri wa dola na kuikufurisha, kama alivyotoa fatwah juu ya ukafiri wa mwenye kuwa na shaka juu ya ukafiri wake.
الشيخ سليمان بن سحمان:
> ملة إبراهيم الكتاب 📘 والسنة 📚:
قال شيخنا المجدد الثاني العالم الرباني عبدالرحمن بن حسن- رحمه الله تعالى - :
Amesema sheikh wetu Mujadid wa pili mwanachuoni mlezi Abdur Rahman ibn Hassan Rahimahullah :
قال تعالى :
Amesema Allah mtukufu :
( فمن يكفر بالطاغوت ويؤمن بالله فقد استمسك بالعروة الوثقى لا انفصام لها والله سميع عليم ) [ البقرة : ٢٥٦ ]
Na atakaemkufuru Twaghut na akamuamini Allah basi huyo ameshika kishiko kilicho madhubuti kisichovunjika , na Allah ni mwenye kusikia na ni mwenye kujua
فدلت الآية : على أنه لايكون مستمسكاً بلا إله إلا الله ، إلا إذا كفر بالطاغوت وهي العروة الوثقى التي لا انفصام لها ومن لم يعتقد هذا فليس بمسلم لأنه لم يستمسك بلا إله إلا الله فتدبر واعتقد ما ينجيك من عذاب الله وهو تحقيق معنى لا إله إلا الله نفياً وإثباتاً .
Basi Aya hii inaeleza juu yakua hatokua mwenye kushikamana na LAA ILAAHA ILLALLAH, ila atakapomkufuru Twaghut na hicho ndo kishiko kilicho madhubuti kisichovunjika na ambae hatoitakidi hili basi si muislam kwa sabab yeye hatokua mwenye kushikamana na LAA ILAAHA ILLALLAH basi zingatia na itakidi lile litakalo kuepusha na adhabu ya Allah na heko ni kuakiki maana ya LAA ILAAHA ILLALLAH kukanusha na kuthibitisha
الدرر السنية في الأجوبه النجدية : (١١/٢٦٣)
> ملة إبراهيم الكتاب 📘 والسنة 📚:
لا إله إلا الله تدل على أمرين :
LAA ILAAHA ILLALLAH inaeleza mambo mawili :
الأمر الأول : أن الله هو المعبود بحق وحده سبحانه ، ولا يستحق العبادة سواه
الأمر الثاني : أن الكفر بكل معبود دون الله تعالى فرض وواجب...
Jambo la kwanza : Hakika ya Allah ndie muabudiwa wa haqq peke yake , na hastahiki kuabudiwa kinyume naye..
Jambo la pili : ni kukufuru kila kinachoabudiwa kinyume na Allah mtukufu ni faradhi na ni waajib...
ولذلك فإن العلم ، لا إله إلا الله مأمور به في قوله تعالى : (فاعلم أنه لا إله إلا الله) ، يعني إذن ، أنه لا بد من معرفة الطاغوت لكي نكفر به......
Na kwa hilo basi kuifahamu LAA ILAAHA ILLALLAH kumeamrishwa kwake katika kauli yake mtukufu : basi jua LAA ILAAHA ILLALLAH , yaani , hakika ni lazima kumfahamu Twaghut ili tumkufuru...
الشيخ بشر بن فهد البشر ثبته الله في كتابه : الكفر بالطاغوت


0 Comments