عن أبي قلَابَة، أنَّ ابنَ مَسعُود قال:
Kutoka kwa Abii qilaabah hakika ibn mas'uud amesema :
« عَلَيكُم بالعِلم قَبل أن يُقبَض، وقَبضُه ذَهَابُ أهليه.
عَلَيكُم بالعلمِ، فَإنَّ أحَدَكُم لا يَدري متى يَفتَقِرُ إلَيه، أو يُفتَقَرُ إلى ما عِندَهُ.
وسَتَجدُون أقوَامًا يَزعُمُونَ أنَّهُم يَدعُونَ إلى كِتَاب الله وقَد نَبَذُوهُ ورَاءَ ظُهُورهم.
علَيكُم بالعِلمِ، .......... »
Ni juu yenu kushikamana na elimu kabla haijaondoshwa, na kuondoshwa kwake ni kuondoka kwa watu wake
Ni juu yenu kushikamana na elimu, Hakika ya mmoja wenu hafahamu lini atakua fakiri kutokana nayo, au atakua fakiri kwa kile alichonacho.
Mtakutana na Watu wanaodhani yakua wao wanalingania kunako kitab cha Allah na hali yakua wamekitupa nyuma ya migongo yao.....
[البدع لابن وضاح(60)، السنة للمروزي (85)، الإبانة الكبرى لابن بطة (192) ، ذم الكلام للهروي(726)]
Mtarjamaa : Abuu Humairah Al Athariy


0 Comments