حد اللوطي
HADD YA MWENYE KUFANYA KITENDO CHA KAUM LAUTW(USHOGA)
عن أبي نضرة قال : سئل ابن عباس : ما حد اللوطي ؟
kutoka kwa nadhrata amesema : aliulizwa ibn Abbas : ni Ipi hukmu ya mwenye Kufanya kitendo cha kaum luutw ?
قال : ينظر أعلى بناء في القرية ، فيرمى به منكسا ، ثم يتبع بالحجارة.
Akasema : Huangaliwa mjengo mrefu katika kijiji, basi hutupwa kwao(kutoka juu mpka chini) akiwa amegeuzwa(miguu juu kichwa chini) , kisha hufatishwa kwa mawe.
مصنف أبي شيبة

0 Comments