Tiktoker wa marekani asilimu baada ya kusoma Quran

 TikToker wa Marekani, Megan Rice, amesilimu na kuingia katika Uislamu baada ya kuanza kusoma qurani kwenye klabu yake ya vitabu, ambayo ilimpa msukumo na imani ya Wapalestina huko Gaza, ambao wamekuwa wakikabiliwa na mauaji ya halaiki lakini wakishikilia imani yao.


"Kwa hivyo leo nilifanya video nikisema jinsi nilivyofurahishwa na imani ya Wapalestina kwa sababu inaonekana tu kwamba Wapalestina wana imani hii ya chuma, hata katika uso wa kupoteza kila kitu na watu walikuwa wakitoa maoni chini yao wakisema 'Well yeah girl, thats. Uislamu, umesoma qurani? Labda unapaswa kusoma Qur'an.'


Pia nilikuwa na hamu ya kujua ni nini... vipi...

0 Comments