Hukmu ya kuwaita ama kuwafananisha Muwahedeena na Makhawaarij.

 ~« حكم وصف الموحدين بالخوارج »~


Hukmu ya kuwaita ama kuwafananisha Muwahedeena na Makhawaarij.


قال الشيخ عبد الله بن محمد بن عبد الوهاب بن سليمان التميمي النجدي رحمه الله -: 


Amesema Sheykh Abdillah Ibn Muhammad Ibn Abdil wahaab Ibn Suleymaan At Tamiymiy An Najdiy (rahimahumu Allah).


فمن أنكر ذلك وأبغضه وسبه وسب أهله وسماهم الخوارج فهو الكافر حقا الذي يجب قتاله حتى يكون الدين كله لله بإجماع المسلمين كلهم. والله سبحانه وتعالى أعلم.


Na mwenye kukereka na hilo, na akachukia na akatukana na akawatukana watu wa neno hilo, na akawaita ni makhawaarij, hakika huyo ni kaafiri khaswa ambae ni wajibu kupigana nae mpaka iwe dini yote ni ya Allah pekee kwa makubaliano ya waislam wote, na Allah mtukufu anajua hilo.


[ الكلمات النافعة في المكفرات الواقعة ]


وقال الشيخ /العلامة أحمد بن إبراهيم بن عيسى الحنبلي النجدي رحم الله: 


Amesema Sheykh Al Alaama Ahmad Ibn Ibrahim Ibn Iysa Al Hambaliy An Najdiy (rahimahuAllah).

وهذا و أمثاله عادَوا أهل التوحيد لما أنكروا عليهم الشرك بالله، و دعوهم إلى إخلاص العبادة لله وحده لا شريك له، كما كان الصحابة رضي الله عنهم مع نبيهم  -صلى الله عليه وآله وسلم‌ - و بعده،  يأمرون بالتوحيد، وينهون عن الشرك.

Na kwa hili na mfano wake, wanaweka uadui na watu wa tawheed kutokana na yale wanayoyachukia waliyo nayo katika kumshirikisha Allah, na wakalinganiwa katika kumtakasia Allah ibada yake pekee pasina ya kumshirikisha na chochote, kama ilivyokuwa kipindi cha maswahaba (radhiyaAllahu anhu) pamoja na Rasulullah (swala Allahu alayhi wasalama) na baada yake walikuwa wanaamrisha kumpwekesha Allah na kukataza kutokana na shirki.

فالأشبه بالخوارج على الحقيقة من يُكَفِّر  أهلَ التوحيد، وينصر الشرك بالله و التنديد، بل هو أشد من الخوارج لأن الخوارج كفروا بالذنب، وهؤلاء كَفَّروا بمحض الإيمان، كما قال العلامة ابن القيم : 


Anaejifananisha na makhawaarij kwa uhakika ni yule anaewakufurisha watu wa tawheed, na ananusuru kumshirikisha Allah na masanam, bali huyo ni khatari zaidi kuliko makhawaarij, kwani makhawaarij wanakufurisha kwa madhambi, na hawa wanakufurisha kwa ujumla wa wenye imaan, kama alivyosema Ibn Al Qayim.



مَنْ لي بِشِبْهِ خوارجٍ قد كَفَّروا 


Wale wanaojifananisha na makhawaarij kwa kukufurisha.



                    بالذنبِ تأويلاً بلا إحسان


Kwa madhambi kwa kufanyia taaweel bila wema..



و لهم نصوصٌ قَصَّروا في فهمها 


Na wanadalili ambazo wanazipunguza kwa ufaham wao.



                    فأتوا من التَّقْصيرِ في العرفان


Kwa hivyo walitoka kwa kukosa shukrani


و خصومنا قد كَفَّرُونا بالذي


Na wapinzani wetu tayari wametukufurisha..



                    هو غايةُ التوحيدِ و الإيمان. 


Na lengo la kutukufurisha ni kwa sababu ya tawheed na imaan.


[ الرد على شبهات المستعينين بغير الله  ١٠١ ]



و قال الشيخ سليمان بن سحمان رحمه الله: 


Amesema Sheykh Suleymaan Ibn Sahmaan


وحاصل مقصود هذا العراقي ونقله: تشبيه أهل الإسلام و التوحيد بالخوارج في تكفيرهم من عبد الأنبياء و الأولياء و الصالحين ودعاهم مع الله لأن عباد القبور عنده هم أهل التوحيد و أهل الإسلام _ من جنس الخوارج الذين يكفِّرون أهل القبلة، هذا حاصل كلامه، و مضمون خطابه، و هذا داء قديم في أهل الشرك و التعطيل، مَنْ كَفَّرهم بعبادة غير الله، و تعطيل أوصافه، و حقائق أسمائه، قالوا له:  أنت مثل الخوارج، يكفرون بالذنب، و يأخذون بظواهر الآيات.



Na tija au nia ya Muiraq huyu katika yaliyonukuliwa, ni kuwafananisha waislam watu wa tawheed kuwa ni makhawaarij kwa sababu ya kukufurisha kwao watu wanaoabudu mitume na mawaliy na watu wema na wanaomuomba Allah na mwingine, 👉kwani waabudu makaburi kwao ni watu wa tawheed na watu wa uislam sahihi, wakiwafananisha na makhawaarij waliokuwa wakiwakufurisha watu was kibla. na hii ndio maana ya maneno yao, na ndio madhumuni ya kuandika kwake, na huu ndio ulinganizi mpya katika watu wa shirki na watu wa kufanya taatwiyl, mwenye kumkufurisha anaeabudu mwingine asiekuwa Allah, na huu ndio ulinganizi mpya wa watu wa shirki na wanaofanya taatwiyl, kwa mwenye kumkufurisha anaemuabudu mwingine asiekuwa Allah, na wakafanya taatwiyl katika kumswifu, na uhakika wa kumuita huko, wakasema kumwambia, wewe ni mfano wa makhawaarij, unakufurisha watu kwa madhambi, na unachukua udhaahiri wa aya.


[ الضياء الشارق ص/ ٨٠ ]

0 Comments