الإسلام : Uislamu ni nini ?

 الإسلام :

UISLAM :



أولا : الاستسلام لله بالتوحيد

الثانيا : الإنقياد له بالطاعة

الثالثا : البراءة مما يضاد التوحيد ويضاد الطاعة  وهو الشرك 

الرابعا : البراءة من أهل الشرك 


Kwanza : ni kujisalimisha kwa Allah kwa kupwekesha

Pili : kujilazimisha kwake kwa kumtii 

Tatu : kujiweka mbali na yale yenye kwenda kinyume na Tawheed na kinyume na utiifu nayo ni shirk 

Nne : kujiweka mbali na Watu Wa shirk


بتحقيق هذه الصفات تكون مسلما ، أما إذا نقضت صفة واحدة منها فإنك لا تكون مسلما ،  فبهذه الكلمات الثلاث لخص الشيخ تعريف الإسلام وكم من إنسان لا يعرف معنى الإسلام ، لأنه لم يتعلم هذا الشيء ، ولو قيل له : ما هو الإسلام لم يجب جوابا صحيحا.


Kwa kuzihakiki sifa hizi anakua muislam,  ama ikitenguka sifa moja katika hizi basi hatokua muislam, na kwa maneno haya matatu amefupisha sheikh maana ya Uislam ,Watu wangapi hawafahamu maana ya Uislam , kwa sabab hawakujifunza mambo haya, na law ataulizwa : ni nini uislam hatojibu jibu sahih.


Imetafsiriwa na Abuu Humairah Al Athariy Allaah amuhifadhi

0 Comments