Imaam Ibn Rajab: Ramadhwaan Inaaga Chukua Fursa Masiku Yaliyobakia Kutenda Mazuri

 Enyi waja wa Allaah! Hakika mwezi wa Ramadhwaan unaaga na hakuna kilichokabakia isipokuwa masiku machache. Basi aliyetenda mazuri katika mwezi aendelee kufanya na ambaye amekasiri, ajitahidi kumaliza mwezi kwa vizuri, kwani hakika matendo yanahesabika mwishoni mwake.

 

Kwa hiyo  chukua fursa kwa (masiku) yaliyobakika ya mwezi, na uage mwezi kwa mazuri kabisa na amani. 

 

 

[Latwaaif Al-Ma’aarif]

0 Comments