- 01-Hadiyth Al-Qudsiy: Mja Wangu Ana Makazi Mazuri Kwangu Ananihimidi
- 02-Hadiyth Al-Qudsiy: Huruma Zangu Zinashinda Ghadhabu Zangu
- 03-Hadiyth Al-Qudsiy: Allaah Atanyakua Ardhi Na Atakunja Mbingu Katika Mkono Wake Wa Kulia
- 04-Hadiyth Al-Qudsiy: Binaadamu Amenikadhibisha Na Amenitukana
- 05-Hadiyth Al-Qudsiy: Mchungaji Anayeadhini Na Kuswali Na Kumuogopa Allaah Ataingizwa Jannah
- 06-Hadiyth Al-Qudsiy: Mmoja Katika Waja Wangu Ameniamini Na Mwengine Amenikufuru
- 07-Hadiyth Al-Qudsiy: Mwanaadamu Ameniudhi Anaulaani Wakati Na Hali Wakati Ni Mimi (Nimeuumba)
- 08-Hadiyth Al-Qudsiy: Nitamsibu Mja Wangu Homa Duniani Nimpunguzie Sehemu Ya Moto Wa Aakhirah
- 09-Hadiyth Al-Qudsiy: Subira Katika Mshtuko Wa Kwanza Jazaa Yake Ni Jannah
- 10-Hadiyth Al-Qudsiy: Mwenye Kufanya ‘Amali Kwa Kunishirikisha Na Mtu Nitaikanusha
- 11-Hadiyth Al-Qudsiy: Watu Wa Mwanzo Kuulizwa Qiyaamah: Shahidi, ‘Aalim Na Mtoaji Mali
- 12-Hadiyth Al-Qudsiy: Toa (Mali Katika Njia ya Allaah) Ee Mwana Aadam Nami Nitakupa
- 13-Hadiyth Al-Qudsiy: Mja Hakuonekana Na Kheri Yoyote Isipokuwa Kuamrisha Watu Wasamehe Wenzie
- 14-Hadiyth Al-Qudsiy: Jilinde Na Moto Japo Kwa Nusu Tende Au Neno Jema
- 15-Hadiyth Al-Qudsiy: Suwratul Faatihah - Nimeigawa Swalaah Baina Yangu Na Mja Wangu Nusu Mbili
- 16-Hadiyth Al-Qudsiy: Kitu Cha Kwanza Kinachohesabiwa Katika ‘Amali Za Mja Ni Swalah
- 17-Hadiyth Al-Qudsiy: Malaika Wanaotafuta Vikao Vya Watu Wanaomdhukuru Allaah Kisha Allaah Huwaghufuria
- 18-Hadiyth Al-Qudsiy: Swawm Ni Yangu Na Ni Mimi Ndiye Ninayelipa
- 19-Hadiyth Al-Qudsiy: Mimi Ni Vile Mja Wangu Anavyonidhania. Niko Pamoja Naye Anaponikumbuka
- 20-Hadiyth Al-Qudsiy: Malipo Ya Niyyah Ya Kufanya Hasanaat Na Maovu
- 21-Hadiyth Al-Qudsiy: Nimeikataza Nafsi Yangu Dhulma Na Nimeiharamisha Kwenu Kwa Hivyo Msidhulumiane
- 22-Hadiyth Al-Qudsiy: Fadhila Za Kutembelea Mgonjwa, Kumlisha Aliye Na Njaa Na Kunywesha Aliye Na Kiu
- 23-Hadiyth Al-Qudsiy: Kiburi Ni Joho Langu Na Utukufu Ni Kanzu Yangu Atakayeshindana Nami Nitamvurumisha Motoni
- 24-Hadiyth Al-Qudsiy: Waliokhasimiana Hazipokelewi Amali Zao Hadi Wapatane
- 25-Hadiyth Al-Qudsiy: Watu Watatu Watakaokuwa Wagomvi Wa Allaah Siku Ya Qiyaamah
- 26-Hadiyth Al-Qudsiy: Usijfanye Duni Kwa Kuogopa Watu Kusema Jambo Kwani Allah Ana Haki Zaidi Ya Kuogopwa
- 27-Hadiyth Al-Qudsiy: Wapendanao Kwa Ajili Ya Allaah Watawekwa Katika Kivuli Cha Allaah Siku Ya Qiyaamah
- 28-Hadiyth Al-Qudsiy: Allaah Akimpenda Mja Au Akimchukia, Humuamrisha Jibriyl
- 29-Hadiyth Al-Qudsiy: Allaah Anatangaza Vita Dhidi Ya Mwenye Kumfanyia Uadui Kipenzi Chake
- 30-Hadiyth Al-Qudsiy: Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) Pekee Ataweza Kutuombea Shafaa’ah
- 31-Hadiyth Al-Qudsiy: Mashuhadaa Wako Hai Jannah Wanatamani Kurudi Duniani Kupigana Tena Fiy SabiliLLaah
- 32-Hadiyth Al-Qudsiy: Mtu Anayejiua Anaharamishwa Jannah (Haingii Peponi)
- 33-Hadiyth Al-Qudsiy: Mwenye Kusubiri Anapoondokewa Na kipenzi Chake Hulipwa Jannah
- 34-Hadiyth Al-Qudsiy: Mwenye Kupenda Kukutana Na Allaah Na Anayechukia Kukutana Naye
- 35-Hadiyth Al-Qudsiy: Mtu Aliyewausia Wanawe Wamuunguze Baada Ya Kufariki Kwa kukhofu Adhabu Ya Allaah
- 36-Hadiyth Al-Qudsiy: Mja Aliyerudia Kufanya Madhambi Allaah Akamghufuria
- 37-Hadiyth Al-Qudsiy: Ee bin Aadam! Sitojali Dhambi Zako Madamu Utanikaribia Kuomba Maghfirah
- 38-Hadiyth Al-Qudsiy: Allaah Huteremka Katika Mbingu Ya Dunia Thuluthi Ya Mwisho Ya Usiku Kuwaitikia Waja
- 39-Hadiyth Al-Qudsiy: Nimewatayarishia Waja Wangu Jannah Ambayo Hawajapata Kuona Wala Kusikia Wala Kuyawaza
- 40-Hadiyth Al-Qudsiy: Mambo Yaliyozungushiwa Jannah Na Moto
- 41-Hadiyth Al-Qudsiy: Jannah Na Moto Vilishindana Allaah Akahukumu Baina Yake
- 42-Hadiyth Al-Qudsiy: Watu Wa Jannah Watapata Ridhaa Ya Allaah
- 43-Hadiyth Al-Qudsiy: Nani Aapaye Kwamba Allaah Hatomghufuria Fulani?
- 44-Hadiyth Al-Qudsiy: Sifa Za Anayependeza Zaidi Kwa Allaah
0 Comments