Shaykh Yahyaa Al-Hajuwriy
SWALI:
Ipi nasaha zako kwa mwenye kulala akapitwa na swalah ya usiku pamoja na Jamaa´ah?
Nasaha zetu ni kuwa khayr hii isimpite naye ni mtafutaji elimu. Na kasikia kwenye khutbah, mihadhara, tanbihi na nasaha khayr zinazopatikana katika yanayohusiana nayo.


0 Comments