الْفَلَقْ
Al-Falaq: 113



بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ


قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ الْفَلَقِ ﴿١﴾
1. Sema: “Najikinga na Rabb wa mapambazuko.


مِن شَرِّ مَا خَلَقَ ﴿٢﴾
2. “Kutokana na shari ya Alivyoviumba.


وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ ﴿٣﴾
3. “Na kutokana na shari ya giza linapoingia.


وَمِن شَرِّ النَّفَّاثَاتِ فِي الْعُقَدِ ﴿٤﴾
4. “Na kutokana na shari ya wanaopuliza mafundoni.


وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ ﴿٥﴾
5. Na kutokana na shari ya hasidi anapohusudu.