الإِخْلاَص
Al-Ikhlaasw: 112
بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
قُلْ هُوَ اللَّـهُ أَحَدٌ ﴿١﴾
1. Sema: “Yeye ni Allaahu Mmoja Pekee.
اللَّـهُ الصَّمَدُ ﴿٢﴾
2. “Allaah ni Aliyekamilika sifa za utukufu Wake, Mkusudiwa haja zote.
لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ ﴿٣﴾
3. “Hakuzaa na wala Hakuzaliwa.
وَلَمْ يَكُن لَّهُ كُفُوًا أَحَدٌ ﴿٤﴾
4. “Na wala haiwi Awe na yeyote anayefanana na kulingana Naye.”
0 Comments